Mkutano Wa Rais Jakaya Kikwete Na Hillary Clinton Ikulu Jijini Dars es salam
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani, Hillary Clinton na Mama Salma Kikwete mara tu baada ya Clinton alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam Leo.Picha na John Lukuwi
Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton wakiongoza mazungumzo ya kiserikali kati ya Tanzania na Marekani yaliyofanyika huko Ikulu, Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Hillary Clinton katika mkutano na waandishi wa habari, muda mfupi kabla ya mgeni huyo kuondoka
No comments:
Post a Comment